Informações:
Sinopsis
Makala ya kila siku yanayompa fursa msikilizaji kutoa maoni yake juu ya habari zilizopewa uzito wa juu kwa siku husika. Msikilizaji hushiriki kwa kutuma ujumbe mfupi pamoja na kupiga simu.
Episodios
-
Ujuzi au vyeti, serikali ya Kenya inawasaka wafanyakazi waliotumia vyeti ghushi kupata ajira
14/05/2024 Duración: 09minSerikali ya Kenya inaendesha uchuguzi kuhusiana na madai ya baadhi ya wafanyakazi wake kumiliki vyeti ghushi, walivyotumia kupata ajira. Unafaikiri mtu anapaswa kuajiriwa kutokana na vyeti vyake au ujuzi wa kazi ?Nchini mwako ajira hutolewa vipi ?Haya hapa baadhi ya maoni yako.
-
Nini mchango wa masharika ya kirai katika mataifa yetu ya Africa
13/05/2024 Duración: 10minKongamano la kwanza la mashirika ya kiraia la Umoja wa Mataifa limekamilika jijini Nairobi wiki iliyopita, huku wito wa mazungumzo ya uwazi na ukweli kati ya serikali na mashirika hayo ukisisitizwa. Upi mchango wa mashirika ya kiraia kwenye nchi zetu?Unadhani yamefanya vya kutosha kuzisaidia jamii na kuchochea maendeleo?Kipi zaidi kifanyike kuboresha uhusiano kati yake na Serikali? Ski makala
-
Maoni ya waskilizaji kuhusu mafuriko yanayo zikumba nchi za Afrika mashariki
07/05/2024 Duración: 10minMafuriko yanashuhudiwa kwenye nchi za Afrika Mashariki, mamia ya watu wakiripotiwa kufariki, nyumba na miundombinu ikiharibiwa.Nchi za Kenya na Tanzania zimeathirika pakubwa na mafuriko haya. Unazungumziaje miakakati inayochukuliwa kuzuia madhara zaidi?Hali ikoje nchini mwako?Unachukua tahadhari zipi binafsi kujilinda?
-
-
-
Ushirikiano wa Afrika na benki ya Dunia pamoja na masharti magumu ya mikopo
30/04/2024 Duración: 10minViongozi wa Afrika wamekutana Nairobi kujadili ushirikiano zaidi na benki ya dunia
-
Mafuriko yanavyoendelea kuutesa ukanda wa Afrika Mashariki
30/04/2024 Duración: 10minUkanda wa Afrika ya mashariki na Pembe ya Afrika unaendelea kupokea mvua kubwa
-
-
Ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali barani Afrika inatia hofu
25/04/2024 Duración: 09minUmoja wa Afrika, unasema ongezeko la matukio ya kigaidi katika nchi mbalimbali inatia hofu na hatua za haraka zinapaswa kuchukuliwa ili kukabiliana na hali hii.
-
Nchi za Afrika Mashariki kuongeza kodi ili kupata mapato zaidi ya serikali
24/04/2024 Duración: 09minHivi karibuni tumeshuhudia baadhi ya nchi za Afrika Mashariki kama vile Kenya, Uganda na Tanzania zikipendekeza mabadiliko ya sheria ili kuongeza kodi, kwa lengo la serikali kuongeza mapato
-
Marekani kupendekeza suluhu kuhusu mzozo wa mashariki mwa DRC kwa njia ya mazungumzo
23/04/2024 Duración: 09min -
Wito wa msaada w akibinadamu kwa mamilioni ya raia wa mashiriki mwa DRC
23/04/2024 Duración: 09minUmoja wa Mataifa unaomba msaada wa haraka wa kibinadamu kuwasaidia raia wa DRC zaidi ya milioni nane walioathiriwa na utovu wa usalama mashariki mwa nchi yao.
-
-
Mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye mwenye umri wa miaka 44 ashinda uchaguzi nchini Senegal
27/03/2024 Duración: 09min -
Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.
26/03/2024 Duración: 09minKwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?
-
-
Hatua ya Gambia kuondoa marufuku ya ukeketaji wa wanawake na wasichana
20/03/2024 Duración: 10minMamia ya raia wa Gambia wakiwemo wanawake wamefanya maandamano juma hili kuunga mkono sheria inayohalalisha ukeketaji wa wasichana na wanawake
-
-
-
Kila Ijumaa ni nafasi kuchangia mada ndani ya rfi Kiswahili
15/03/2024 Duración: 10minKila Ijumaa una nafasi ya kuchangia mada yoyote ndani ya makala Habari Rafiki, kuhusu taarifa zetu au kile kinachoendelea hapo ulipo. Juma hili haya ni baadhi ya maoni yako.