Habari Rfi-ki

Mgomo wa madaktari nchini Kenya, na sekta ya afya katika mataifa ya Afrika.

Informações:

Sinopsis

Kwa karibu wiki mbili sasa, madaktari nchini Kenya wamekuwa kwenye mgomo kulalamikia mazingira ya kazi na kushinikiza kuajiriwa kwa madaktari zaidi.Hali kama hii ya mgomo pia ikishuhudiwa katika miezi ya hivi karibuni nchini Nigeria.Hali katika sekta ya afya nchini mwako ikoje?Serikali za Afrika zifanye nini kuepusha migomo kwenye sekta ya afya?