Informações:
Sinopsis
Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.
Episodios
-
MUZIKI IJUMA
17/03/2023 Duración: 10minKaribu kwenye Makala ya Muziki Ijuma. Unaweza kusikiza ombi lako na muziki hapa.
-
Muziki wa kipeke ndani ya rfi Kiswahili
03/03/2023 Duración: 11minKila ijumaa unapata nafasi ya kuomba na kuskiza muziki unaopenda ndani ya rfi Kiswahili, kupitia makala ya Muziki Ijumaa. Juma hili Benson Wakoli amekuandalia vibao mbalimbali kutoka Africa Mashariki, vibao vya kale na sasa, ili kupanda uhonda kamili skiza makala haya
-
Midundo motomoto ndani ya mitambo ya rfi kiswahili
20/01/2023 Duración: 15minUkikose kuskiza vibao mrua kabisa ndani ya makala muziki ijumaa kila ijumaa katika rfi kiswahili.
-
Midondo motomoto ndani ya rfi Kiswahili
26/08/2022 Duración: 14minKila Ijumaa rfi Kiswahili inatoa nafasi kwa waskilizaji wake kuomba muziki ndani ya makala ya Muziki Ijumaa.Skiza vibao vya bomba vya juma hili.