Sinopsis

Makala ambayo inakupa nafasi ya kujua masuala mbalimbali ya Muziki na Burudani. Ndani ya makala haya utapata taarifa za wanamuziki, historia zao na bila kusahau mahojiano na wanamuziki mbalimbali. Hii ni fursa ya pekee kwa wasikilizaji kujiliwaza baada ya kazi za juma zima kupitia burudani ya muziki. Makala ya muziki ijumaa pia itakuwezesha kufahamu wasanii kutoka sehemu mbalimbali duniani na kujua wanafanya nini.

Episodios

 • Muziki Ijumaa - Wanamuziki wa Kundi la Daara J Family na Harakati zao

  Muziki Ijumaa - Wanamuziki wa Kundi la Daara J Family na Harakati zao

  27/09/2019 Duración: 11min

  Historia ya Moja moja miongoni mwa makundi ya miondoko ya Hip Hop nchini Senegal Daara J Family.

 • Gwiji wa Muziki wa Reggae, Phillip Dube ataendelea kukumbwa Barani Afrika

  Gwiji wa Muziki wa Reggae, Phillip Dube ataendelea kukumbwa Barani Afrika

  22/02/2019 Duración: 11min

  Utotoni mwake Lucky Phillip Dube alilelewa sana na bibi yake kutokana na mama yake kufanya kazi nje ya mahali ambapo wanaishiili aweze kumudu maisha, Katika maisha yake Lucky Dube hakuwahi kumjua baba yake. Ungana na Steven Mumbi katika Makala ya Muziki Ijumaa,akiangazia Maisha yake ya Kimuziki.

 • Brenda Faasie aliufanya Muziki wa Afrika Kuheshimika

  Brenda Faasie aliufanya Muziki wa Afrika Kuheshimika

  09/11/2018 Duración: 10min

  Brenda Nokuzola Fassie , alizaliwa Novemba 3, 1964 huko Langa Cape Town nchini Afrika Kusini, akiwa mtoto wa mwisho wa familia yenye watoto 8,amefanya Muziki kwa kiwango cha juu Barani Afrika na kupata umaarufu Mkubwa Duniani. Ungana na Steven Mumbi katika Mkala ya Muziki Ijumaa kuangazia Safari yake ya Kimuziki.

 • Pierrette Adams nyota isiozima

  Pierrette Adams nyota isiozima

  12/10/2018 Duración: 11h06min

  Juma hili Ali Bilali anakuletea mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Congo Brazaville ambae sehelu kubwa ya Muziki wake ameufanyia nchini Cote d'ivoire Pierrette Adams ambae nyota yake imeendelea kung'ara licha ya umri wake. Sikiliza Makala haya, usikosi pia kutupa mapendekezo yako ni mwanamuziki gani ungelipenda tukuletee juma lijalo. Usikosi pia kutufollow kwa instagram @billy_bilali

 • Maombolezo ya kifo cha mwanamuziki Charles Aznavour

  Maombolezo ya kifo cha mwanamuziki Charles Aznavour

  05/10/2018 Duración: 12h03min

  wananchi wa Ufaransa wanaomboleza kifo cha mwanamuziki Mkongwe Charles Aznavour aliefariki hivi majuzi akiwa bafuni. Charles Aznavour ambae alikuwa tayari na umti wa miaka 84 anafanyiwa mazishi ya kitaifa hii leo baada ya serikali ya Ufaransa kuafikiana na familia ambayo ilikuwa haitaki hilo. kufahamu mengi zaidi kuhusu mwanamuziki huyo ambatana naye Ali Bilali katika Makala haya, usikose pia kumfollow kwa Instagram kwa kuandika @billy_bilali

 • Mlimbwende aliehamia kwenye muziki Genevieve ndani ya Studio za RFI Kiswahili.

  Mlimbwende aliehamia kwenye muziki Genevieve ndani ya Studio za RFI Kiswahili.

  09/02/2018 Duración: 10min

  Mwanamuziki wa Bongo Fleva kwa mara nyingine tena amekuja kutambulisha wimbo wake mpya ambao unafanya vizuri "Hoi" wimbo ambao unahesabiwa kuwa ni wa 4 tangu pale alipojikita katika muziki. Sikiliza makala haya katika mazungumzo yake na Ali Bilali.

 • Foby mwanamuziki, mtunzi anaetusua na wimbo wake Ngangana

  Foby mwanamuziki, mtunzi anaetusua na wimbo wake Ng'ang'ana

  02/02/2018 Duración: 11min

  Mwanamuziki wa Bongo Fleva Foby aridhishwa na mapokezi ya wimbo wake mpya Ng'ang'ana unaofanya vizuri kwa sasa. Wiki hii amekuwa mgeni katika makala ya Muziki Ijumaa na Ali Bilali.

 • Charly na Nina wanamuzuki wa Kike nchini Rwanda wanaopata mafaanikio makubwa

  Charly na Nina wanamuzuki wa Kike nchini Rwanda wanaopata mafaanikio makubwa

  19/01/2018 Duración: 12h03min

  Juma hili, Ali Bilali anakupeleka nchini Rwanda ambako anawazungumzia wanamuziki wawili wa Kike Charly na Nina ambao wameendelea kufanya vizuri kila uchao kiasi cha kualikwa huku na kule duniani. ambatana naye kusikiliza na kufaham mengi zaidi kuhusu wanamuziki hawa.

 • Mwanamuziki France Gall afariki dunia

  Mwanamuziki France Gall afariki dunia

  12/01/2018 Duración: 10min

  Makala haya Muziki Ijumaa Ali Bilali anamzungumzia mwanamuziki wa Ufaransa France Gall aliefariki dunia akiwa na umri wa miaka 70 kutokana na maradhi ya saratani. Sikiliza Makala haya ili kufaham zaidi maisha ya mwanamuziki huyo.

 • G-Bo Gibanga mwanamuziki kutoka Burundi azindua album yake ya 4G

  G-Bo Gibanga mwanamuziki kutoka Burundi azindua album yake ya 4G

  15/12/2017 Duración: 10min

  G-Bo Gibanga ni miongoni mwa wanamuziuki jipukizi nchini Burundi ambae amepata mafaanikio makubwa baada ya kutoa niymbo zake kadha ambazo zilipokelewa vizuri na hatimae juma hili amezindua album yake iliokuja kwa jina la 4G, mengi zaidi ambatana naye katika makala haya na Ali Billy Bilali unaweza pia kumfollow kwa instagram @billy_bilali

 • Wapenzi wa Muziki wa Rock wamlilia Johnny Hallyday

  Wapenzi wa Muziki wa Rock wamlilia Johnny Hallyday

  08/12/2017 Duración: 10min

  Ulimwengu wa Muziki wa Rock and Roll wamlilia mwanamuziki wa miondoko hiyo kutoka Ufaransa Johnny Hallyday ambae alifariki usiku wa Desemba 5 kuamkia Desemba 6. Kufahamu zaidi kuhusu mwanamuziki huyo ambatana naye Ali Bilali katika makala haya Muziki Ijumaa unaweza pia kumfollow kwa instagram @billy_bilali/

 • Tamasha la Fiesta latamatika jijini Dar Es Salaam

  Tamasha la Fiesta latamatika jijini Dar Es Salaam

  01/12/2017 Duración: 14h07min

  Novemba 25 ilikuwa kilele cha tamasha la Fiesta 2017, baada ya kufanyika katika mikoa mbalimbali ya Tanzania, hatimae ilikuw ani zamu ya Dar es salaam. Msimu huu ni wanamuziki pekee kutoka nchini Tanzania ndio walioshiirki ili kutoa burudani isioweza kusahaulika. Ambatana na Makala haya Ali Bilali anakujuza kwa muhtasar namna ilivyokuwa. usikosi mpia kumfollow kwa instagram.com/billy_bilali/

 • Mwanamuziki wa Burundi DJ Pro afunguka zaidi kuhusu Muziki wake

  Mwanamuziki wa Burundi DJ Pro afunguka zaidi kuhusu Muziki wake

  17/11/2017 Duración: 11min

  Makala Muzuki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki wa Burundi DJ Pro ambae kwa sasa ngoma yake mpya Blaa Blaa inafanya vizuri katika vituo mbalimbali nchini Burundi na nnje ya nchi hiyo. Sikiliza alivyofunguka zaidi kuhusu kazi zake kwa jumla na tuhuma za kuwadisi wasanii wenzie. Unaweza pia kumfollow Mtangazaji Ali Bilali kwa Instagam kwa kugonga hapa @billy_Bilali

 • Samata A na harakati mpya za Muziki

  Samata A na harakati mpya za Muziki

  10/11/2017 Duración: 11min

  Mwanamuziki wa Bongo Fleva Samata A, kwa mara nyingine tena, ametembelea studio za RFI Kiswahili Dar Es Salaam kuzungumzia kuhusu video yake mpya ya wimbo Tufyu, lakini pia audio ya wimbo wake Totoro, sikiliza makala haya kupitia radio yako pendwa rfikiswahili.

 • Wafahamu Amadou na Mariam wanamuziki wenye ulemavu wa kuona mke na Mume

  Wafahamu Amadou na Mariam wanamuziki wenye ulemavu wa kuona mke na Mume

  22/09/2017 Duración: 10min

  Makala haya Muziki Ijumaa hii leo inakuletea Historia ya wanamuziki wawili mke na mume ambao ni walemavu wa kuona, lakini wamekuwa maharafu sana katika mataifa mbalimbali duniani. Ambatana naye Ali Bilali kufaham zaidi kuhusu historia yao.

 • Mwanamuziki was Rwanda Medy atumbuiza jijini Kigali baada ya miaka kadhaa akiwa ugenini

  Mwanamuziki was Rwanda Medy atumbuiza jijini Kigali baada ya miaka kadhaa akiwa ugenini

  15/09/2017 Duración: 12min
 • Aya Nakamura mwanamuzi wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal

  Aya Nakamura mwanamuzi wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal

  08/09/2017 Duración: 10min

  Makala Muziki Ijumaa Juma hili Ali Bilali anamleta kwako Aya Nakamura mwanamuziki raia wa Ufaransa mwenye asili ya Senegal ambae ametowa album yake ya kwanza na kufanya vizuri.

 • Jux akiri wimbo utaniuwa kamuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha

  Jux akiri wimbo utaniuwa kamuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha

  25/08/2017 Duración: 11min

  Makala Muziki Ijumaa juma hili, Ali Bilali anazungumza na mwanamuziki Jux ambae ametambulisha wimbo wake mpya "Utaniuwa" ambao amekiri kumuimbia mpenzi wake Vanessa Mdee baada ya kumuacha. ambatana naye kufahamu mengi zaidi.

 • Pam D, mwanamuziki wa kike anaetamba na mgoma yake Ngoma Droo

  Pam D, mwanamuziki wa kike anaetamba na mgoma yake Ngoma Droo

  11/08/2017 Duración: 11min
 • AdjobaLove na harakati zake za Muziki wa Reggue

  AdjobaLove na harakati zake za Muziki wa Reggue

  04/08/2017 Duración: 11min

  Makala haya Muziki Ijumaa, Ali Bilali anazungumza na AdjobaLove, mwanamuziki wa kitambo wa miondoko ya Reggue raia wa Burundi ambae anaeshi uhamishoni nchini Rwanda, usikosi pia kumfollow ntaganzaji wako Ali Bilali kwa Instagram @billy_bilali

Informações: