Alfajiri - Voice Of America

  • Autor: Vários
  • Narrador: Vários
  • Editor: Podcast
  • Duración: 24:59:20
  • Mas informaciones

Informações:

Sinopsis

Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.Ratiba: Monday-FridaySaa (kwa saa za huku): 06:00UTC saa ya kimataifa 0300Muda: 30Sikiliza: Podcast

Episodios

  • Trump anaonekana kubadili msimamo kuhusu mpango wake wa kuchukua udhibiti wa Gaza - Februari 12, 2025

    12/02/2025 Duración: 29min
  • Zaidi ya wanajeshi 100 watorokea Rwanda kufuatia mapigano ya Goma. - Februari 11, 2025

    11/02/2025 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Waasi wa M23 wasemekana kukaribia kabisa kuuchukua mji wa Goma mashariki mwa DRC. - Februari 10, 2025

    10/02/2025 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Umoja wa Mataifa waanza mazungumzo na M23 kupeleka misaada Goma - Februari 07, 2025

    07/02/2025 Duración: 30min
  • Marekani yasusia mkutano wa G20 utakaofanyika Afrika Kusini - Februari 06, 2025

    06/02/2025 Duración: 29min
  • Trump apendekeza Wapalestina wahamishwe kutoka Gaza na wapelekwe katika nchi jirani za Kiarabu - Februari 05, 2025

    05/02/2025 Duración: 30min
  • Muungano wa makundi ya waasi watangaza kusitisha mapigano mashariki mwa DRC kuanzia Februari 4 - Februari 04, 2025

    04/02/2025 Duración: 29min
  • Trump akiri kuwa hatua yake ya kuziwekea ushuru Canada, Mexico na China itakuwa na madhara kwa Wamarekani - Februari 03, 2025

    03/02/2025 Duración: 30min
  • Wabunge wa chama tawala wa Zimbabwe wapanga kufanya marekebisho ya katiba ili kuruhusu muhula wa tatu wa Rais. - Januari 31, 2025

    31/01/2025 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Zaidi ya mamluki 280 kutoka nchi za Ulaya washikwa mateka na M23 na kupelekwa Rwanda - Januari 30, 2025

    30/01/2025 Duración: 29min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Maelfu ya wakazi wa Niger, Mali na Burkina Faso waunga mkono uamuzi wa nchi zao kujiondoa kwenye ECOWAS. - Januari 29, 2025

    29/01/2025 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Mali yachukua tani tatu za dhahabu kutoka kwa kampuni ya Barrick Gold ikiwa sehemu ya mzozo wa kifedha kati yao. - Januari 28, 2025

    28/01/2025 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Idadi ya vifo kutokana na mioto ya California yapita 20. - Januari 27, 2025

    27/01/2025 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Trump atishia kuziwekea ushuru kampuni za kigeni zitakazopuuza wito wake wa kuja kuwekeza Marekani - Januari 24, 2025

    24/01/2025 Duración: 29min
  • Trump alitaja kundi la Wahouthi wa Yemen kuwa kundi la kigaidi la kigeni - Januari 23, 2025

    23/01/2025 Duración: 29min
  • Ujumbe wa Wamarekani ziarani nchini Rwanda kutafuta fursa za uwekezaji - Januari 22, 2025

    22/01/2025 Duración: 29min
  • Trump atangaza hatua kali dhidi ya wahamiaji haramu na afuta amri kadhaa za kiutendaji za mtangulizi wake - Januari 21, 2025

    21/01/2025 Duración: 29min
  • Trump ahotubia maelfu ya wafuasi wake Jumapili siku moja kabla ya kuapishwa kuwa Rais - Januari 20, 2025

    20/01/2025 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Museveni aamuru polisi na majaji kutowapa dhamana wahalifu waliyokamatwa. - Januari 17, 2025

    17/01/2025 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

  • Wakati Tanzania ikijiandaa kwa uchaguzi mkuu baadaye mwaka huu, je hali ya kisiasa ikoje? - Januari 16, 2025

    16/01/2025 Duración: 30min

    Matangazo ya nusu saa kuhusu habari za mapema asubuhi pamoja na habari za michezo.

página 2 de 3
Únete Ahora

Únete Ahora

  • Acceso ilimitado a todo el contenido de la plataforma.
  • Más de 30 mil títulos, incluidos audiolibros, podcasts, series y documentales.
  • Narración de audiolibros por profesionales, incluidos actores, locutores e incluso los propios autores.
Prueba ahora Firma sin compromiso. Cancele cuando quiera.

Compartir