Habari Rfi-ki

DRC/ Rwanda : Marais wasaini awamu ya mwisho ya mkataba

Informações:

Sinopsis

Shaba ya makala haya inalenga nchini DRC, viongozi wa DRC    marais Paul Kagame na  mwenzake Felix Tshisekedi wamesaini, awamu ya mwisho ya mkataba wa amani. Tumekuuliza Je, unadhani wananchi wa mashariki mwa DRC watanufaika moja kwa moja na makubaliano ya worshington?