Gurudumu La Uchumi

Nguo za mitumba zapigwa marufuku nchini Uganda

Informações:

Sinopsis

Serikali ya Uganda imepiga marufuku uingizwaji na uuzwaji wa nguo kukuu maarufu kama mitumba nchini humo. Rais Yoweri Museveni anasema, hatua hiyo itasaidia kukusa viwanda vya ndani vya nguo na kuunda ajira hasa kwa vijana. Mwandishi wetu wa Kampala Kenneth Lukwago anatueleza zaidi.