Sinopsis

Fahamu masuala kadha wa kadha kuhusu uchumi kama vile, namna ya kupambana na umaskini, mfumuko wa bei, kushamiri kwa matumizi ya dola na athari za kuyumba kwa uchumi wa dunia kwa nchi za Afrika. Mada hizi zinafanyiwa utafiti wa kina na zinazungumzwa kwa lugha rahisi inayoeleweka ili kukufanya uelewe na usichoke kusikiliza .

Episodios

 • Gurudumu la Uchumi - Uchumi wa Nigeria baada ya kuchaguliwa tena kwa rais Buhari

  Gurudumu la Uchumi - Uchumi wa Nigeria baada ya kuchaguliwa tena kwa rais Buhari

  18/06/2019 Duración: 09min

  makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia hali na mustakabali wa uchumi wa Nigeria baada ya kuchaguliwa tena kwa rais Muhammadu Buhari.

 • Gurudumu la Uchumi - Utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi

  Gurudumu la Uchumi - Utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi

  18/06/2019 Duración: 10min

  Makala ya Jua Haki Zako juma hili inajadili kuhusu tatizo la utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi, nini athari zake kwa uchumi wa taifa?

 • Gurudumu la Uchumi - Ripoti ya ILO kuhusu ajira duniani

  Gurudumu la Uchumi - Ripoti ya ILO kuhusu ajira duniani

  18/06/2019 Duración: 10min

  Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kuhusu ripoti ya shirika la kimataifa linalohusika na Kazi ILO ambayo imetazama tatizo la ajira duniani.

 • Gurudumu la Uchumi - Nini kifanyike kuvutia uwekezaji Afrika?

  Gurudumu la Uchumi - Nini kifanyike kuvutia uwekezaji Afrika?

  18/06/2019 Duración: 09min

  Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kuhusu mkakati wa bara la Afrika kuvutia wawekezaji.

 • Gurudumu la Uchumi - Mkutano wa Davos na ombwe kati ya walionacho na wasionacho

  Gurudumu la Uchumi - Mkutano wa Davos na ombwe kati ya walionacho na wasionacho

  18/06/2019 Duración: 09min

  Makala ya Gurudumu la Uchumi inaangazia mkutano wa jukwaa la kiuchumi wa Davos na ombwe kati ya walio nacho na wasio nacho.

 • Gurudumu la Uchumi - Sekta ya madini nchini Tanzania, wadau wanasemaje

  Gurudumu la Uchumi - Sekta ya madini nchini Tanzania, wadau wanasemaje

  18/06/2019 Duración: 10min

  Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia mkutano wa kisekta wa wadau wa sekta ya madini nchini Tanzania, mkutano walioufanya na rais wa Tanzania, John Magufuli.

 • Mzozo kuhusu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya

  Mzozo kuhusu Uingereza kujitoa kwenye umoja wa Ulaya

  16/01/2019 Duración: 10h01min

  Makala ya Uchumi juma hili inaangazia mvutano kati ya wabunge wa chama tawala na wale wa upinzani nchini Uingereza ambao wanavutana kuhusu kuafikiana na mkataba wa umoja wa Ulaya utakaowezesha nchi hiyo kujitoa kwenye umoja wa Ulaya. Juma hili wabunge karibu wote walikataa mkataba ulioafikiwa kati ya waziri mkuu May na viongozi wa umoja wa Ulaya. Mvutano huu una athari gani za kiuchumi kwa Uingereza?

 • Kusimama kwa shughuli za Serikali Marekani baada rais Trump kukataa kupitisha bajeti

  Kusimama kwa shughuli za Serikali Marekani baada rais Trump kukataa kupitisha bajeti

  09/01/2019 Duración: 09min

  Makala ya Uchumi juma hili inaangazia mvutano wa kisiasa nchini Marekani kati ya wabunge wa Democrats na wale wa chama tawala cha Republican kuhusu ufadhili wa fedha kwaajili ya ujenzi wa ukuta kwenye eneo la mpaka wa nchi hiyo na Mexico, mvutano ambao umesababisha kusimama kwa shughuli za Serikali na kuathiri wafanyakazi wa uma zaidi ya laki 8 nchini humo.

 • Umuhimu wa kuwa na malengo ya kutumiza katika mwaka mpya 2019

  Umuhimu wa kuwa na malengo ya kutumiza katika mwaka mpya 2019

  02/01/2019 Duración: 10h02min

  Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inajadili kuhusu umuhimu wa kuwa na malengo pale mwaka mpya unapoanza, unatakiwa kufanya nini kutimiza malengo mapya na yale ambayo hukufanikiwa kutumiza katika mwaka uliotangulia? Ungana na mtayarishaji wa makala haya akiwa na Dr Wetengere Kitojo mtaalamu wa masuala ya Diplomasia ya Uchumi.

 • Kwanini wananchi wengi hawawezi kupanga bajeti mwishoni mwa mwaka?

  Kwanini wananchi wengi hawawezi kupanga bajeti mwishoni mwa mwaka?

  26/12/2018 Duración: 10h01min

  Makala haya ya Gurudumu la Uchumi inaangazia changamoto za raia kushindwa kupanga bajeti hususani mwishoni mwa mwaka na kujikuta wakiwa na changamoto za kiuchumi mwanzoni mwa mwaka. Ungana na Fredrick Nwaka, aliyekuandalia makala haya.

 • Wajasiriamali wadogo wanashirikishwa katika ujenzi wa uchumi wa viwanda nchini Tanzania?

  Wajasiriamali wadogo wanashirikishwa katika ujenzi wa uchumi wa viwanda nchini Tanzania?

  14/11/2018 Duración: 10h01min

  Ushiriki wa wananchi katika uchumi wa viwanda unaohubiriwa na serikali ya Tanzania. Sabina Mpelo amekuandalia makala ya Gurudumu la uchumi

 • Bajeti za nchi za Afrika Mashariki

  Bajeti za nchi za Afrika Mashariki

  20/06/2018 Duración: 10h04min

  Makala haya juma hili inazitazama bajeti za nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki na ikiwa zitaweza kuzifikisha nchi hizo katika kufikia nchi za vipato vya kati na kuondokana na utegemezi.

 • Mkutano wa wakuu wa nchi za G7 na mvutano wao na rais wa Marekani

  Mkutano wa wakuu wa nchi za G7 na mvutano wao na rais wa Marekani

  13/06/2018 Duración: 09min

  Makala haya juma hili inaangazia changamoto zilizojitokeza wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi 7a zenye nguvu ya kiuchumi duniani waliokutana nchini Canada, ambapo walivutana pakubwa na rais wa Marekano Donald Trump aliyetangaza kuongeza tozo kwenye bidhaa za chuma na Alminium.

 • Namna nishati mbadala inavyoweza kuchochea uchumi wa viwanda

  Namna nishati mbadala inavyoweza kuchochea uchumi wa viwanda

  06/06/2018 Duración: 09min

  Makala haya juma hili inazungumza na wataalamu wa nishati mbadala hasa wanaotenegeneza nishati mbadala ya kuni namna inavyoweza kusaidia katika ukuaji wa uchumi na kuelekea uchumi wa viwanda.

 • Maandalizi kuelekea maonesho ya kimataifa ya saba saba nchini Tanzania manufaa yake kiuchumi

  Maandalizi kuelekea maonesho ya kimataifa ya saba saba nchini Tanzania manufaa yake kiuchumi

  30/05/2018 Duración: 09min

  Makala haya juma hili inazungumza na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania, TanTrade nchini Tanzania kuhusu maandalizi kuelekea maonesho ya kimataifa ya saba saba ambayo hufabnyika nchini Tanzania kila ifikapo mwezi wa saba.

 • Utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi, athari za kiuchumi

  Utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi, athari za kiuchumi

  23/05/2018 Duración: 10h03min

  Makala ya juma hili inaangazia athari za kiuchumi zinazosababishwa na utoroshaji wa mitaji na fedha nje ya nchi hasa kwa mataifa ya Afrika.

 • Athari za kiuchumi kwa nchi ya Iran baada ya Marekani kujitoa kwenye mkataba wa kimataifa wa nyuklia

  Athari za kiuchumi kwa nchi ya Iran baada ya Marekani kujitoa kwenye mkataba wa kimataifa wa nyuklia

  16/05/2018 Duración: 09min

  Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia hatua ya Marekani kujitoa kwenye mkataba wa kimataifa wa nyuklia wa Iran pamoja na kutangaza vikwazo vya kiuchumi dhidi ya taifa hilo, je kutakuwa na athari gani kwa uchumi wa dunia?

 • Kuimarika kwa uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya Tanzania na Israel

  Kuimarika kwa uhusiano wa kidiplomasia na kiuchumi kati ya Tanzania na Israel

  09/05/2018 Duración: 10h09min

  Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia kuanza kurejea kwa mahusiano ya kawaida ya kidiplomasia na kiuchumi kati ya nchi ya Israel na Tanzania, ambapo Tanzania imefungua rasmi ubalozi wake nchini Israel.

 • Sehemu ya pili kuhusu umuhimu wa misitu kiuchumi

  Sehemu ya pili kuhusu umuhimu wa misitu kiuchumi

  02/05/2018 Duración: 09h02min

  Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inakuletea sehemu ya pili ya mjadala kuhusu umuhimu wa misitu nchini Tanzania kiuchumi.

 • Umuhimu wa misitu na namna inavyoweza kutumika kibiashara, sehemu ya kwanza

  Umuhimu wa misitu na namna inavyoweza kutumika kibiashara, sehemu ya kwanza

  25/04/2018 Duración: 09min

  Makala ya Gurudumu la Uchumi juma hili inaangazia umuhimu wa sekta ya misitu kwenye uchumi wa nchi zinazoendelea.

Informações: