Gurudumu La Uchumi

Je Afrika inawezaje kutumia raslimali watu kwa maendeleo ya uchumi?

Informações:

Sinopsis

Takwimu zinaonyesha kuwa rasilimali watu katika nchi za kusini mwa jangwa la Sahara, ilikuwa ndogo mno ikilinganishwa na mataifa mengine ya dunia, ambapo Uviko 19 na vita vya Urusi nchini Ukraine vilichangia.  Wiki hii Emmanuel Makundi anaangazia wito wa wakuu wa nchi za ukanda ili kuangalia namna bora zaidi ya kutumia nguvu kazi iliyoko barani Afrika kwa maendeleo.