Gurudumu La Uchumi

DRC: Kushuka kwa thamani ya fedha na changamoto la wakimbizi wa ndani

Informações:

Sinopsis

Wimbi la wakimbizi wa ndani pamoja nakushuka kwa thamani ya pesa za kongo dhidi ya dola za Marekani  kumesababisha kupanda kwa gharama za maisha katika miji kadhaa nchini jamuhuri yakidemokrasia ya Kongo. Makal aya Gurudumu la uchumi juma hili inaangazia kwa kina hali hii na mtayarishaji Emmanuel Makundi, ameshirikiana na mwandishi wa Goma Benjamini Kasembe pamoja na kuzungumza na mtaalamu wa uchumi kutoka Bukavu Bengeya Machozi.