Mtazamo Wako Kwa Yaliyojiri Wiki Hii
Rwanda na DRC zasaini mkataba wa amani Washington, chanjo ya ukimwi yaanza Afrika
- Autor: Vários
- Narrador: Vários
- Editor: Podcast
- Duración: 0:19:58
- Mas informaciones
Informações:
Sinopsis
Habari kuu wiki hii ni pamoja na mkataba wa amani uliosainiwa kati ya Rwanda na Drc chini ya usimamizi wa Washington, tutaangazia siasa wa Uganda na Tanzania, halkadhalika hali ya kibinadamu nchini Sudan, WHO kuonya kuhusu ongezeko la maambukizo na vifo kutokana na Malaria. Tutaangalia hali kule Guinea Bissau baada ya mapinduzi, tutachambua kesi ya ufisadi inayomkabili Waziri mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu, lakini pia mkutano kati ya rais wa Ufaransa Emmanuel Macron na mwenzake wa China Xi Jinping.